B I N A M U
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 1,495
- 2,403
Kaajiriwa na vunja
😂😂😂Anakuja kukomenti hapa
kuku kwa mlija inaitwaYupo anapiga hela zake za online kimya kimya.
kwa anauza nguo au kapewa tangazoKaajiriwa na vunja
IG picha yake mara y mwshon lini umeionaYupo instagram
doooh basi angekuwa anareport habari kama navofanya millard ila yeye kimya kabisa mpka tunamsahauSasahiv na yeye ni boss anachanel yake ameajiri vijana wanapiga kazi
anhaa kwa karito pale.... sijamuona wala kumsikia mda mrefuSiku hizi yeye ni C.O ameajiri Vijana na chanel yake ya online. Ukimtaka nenda samaki samaki Mlimani city utamkuta jioni anakula wine pale
Nimewaza hivyo pia mie, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jf inanichosha hapa tu, Unakuta mtu anajiulizia mwenyewe kuona kama bado raia wanamkumbuka au la (Kupima upepo).
Uhusiano wako na furaha ni mbaya!Jf inanichosha hapa tu, Unakuta mtu anajiulizia mwenyewe kuona kama bado raia wanamkumbuka au la (Kupima upepo).
Kale kajamaa huwa nahisi aidha ni ka upinde au katejaHabari wakuu.
Hivi Sam Misago yuko wapi? Toka alivondoka EATV hatujasikia wala kuona kuwa alikwenda kituo gani, pia hata Sammisago TV hatumuoni