Yuko wapi Profesa Philemon Sarungi?

Yuko wapi Profesa Philemon Sarungi?

mnyinda

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2012
Posts
277
Reaction score
64
Nimuda sasa hatumsikii wala ajulikani alipo mwana siasa mkongwe profesa Philemon Sarungi .

Mwanasiasa huyu amewahi kuwa Waziri wa Ulinzi, yuko wapi?
 
Itabidi tumuulize mwanae yule Maria Sarungi
Lkn yupo kazeeka sana,niliona kuna kipindi wanae walimfanyia birthday
Kawaharibu sana pua
 
Itabidi tumuulize mwanae yule Maria Sarungi
Lkn yupo kazeeka sana,niliona kuna kipindi wanae walimfanyia birthday
Kawaharibu sana pua

Na huyo Mwanae wa Kike ( MS ) si tunae sana hapa JF kwanini hatiririki na haserereki na hili swali ili amalize utata tupumzike?
 
Sasa ananyamaza kimya kwanini wakati watu wamemmiss mshua wake
 
Katika kuchimbua nimeangukia hapa, majibu pls
 
Back
Top Bottom