Yuko wapi Nancy Mitikiso Salamba?

Nancy mitikisiko alikua balaa,ile blog ailiiacha kama pango tu baada ya sheria ya makosa ya mtandao kupitishwa rasmi nae akatangaza kuachana nayo..

Kuna wazir aliwahi kumtumia hela ya laptop mpya milion 4 ili aendelee kushusha vitu ni baada ya kwake kuharibika nadhan
 
hakuna kitu kibaya au kizuri kama chambia guzi(washenzi) wakiungana rahasana

Wahuni Wala hawachongei hayakusemelei kwa ticha nizamu Wala waden
 
Ilikuwa nikiingia Internet cafe natega screen ili nitumie dk kadhaa kuzama kwenye pilau la rahatupu. Noma sana!!
 
Yule haitokaa itokee. Ilikuwa ya moto kweli kweli. Nakumbuka wakati sheria za mitandao zulipotungwa bungeni alituaga kabisa akasema kama kuna clip au pic umeipenda uidownload mapema kabla haijafungwa na kweli baada ya muda ilawa hivyo
 
Yule haitokaa itokee. Ilikuwa ya moto kweli kweli. Nakumbuka wakati sheria za mitandao zulipotungwa bungeni alituaga kabisa akasema kama kuna clip au pic umeipenda uidownload mapema kabla haijafungwa na kweli baada ya muda ilawa hivyo
Hakutaka kuvimbiana na serikali yule dada
 
gone are the days. zile zama wanangu wako sekondari high school wanamtazama blaa huyu dada. hivi nilisikia alipost maudhui ya kiongozi mkubwa wa taifa kwa wakati ule? je, ni kweli au ilikuwa ni kamba? ila baadhi ya maudhui yake bado yako kule soundcloud kwa audio na video kule x videos. ule wakati ilikuwa noma sana.
 
Alikuwa na ushirikiano wa karibu Pete na kidole na Jamii forum Jukwaa la wakubwa.
Wote walikufa kifo kimoja. Ashukuriwe Magu kusafisha nchi Japo hiyo Sheria siku hiyo bungeni Lissu alikomaa Hadi usiku kuleta vipingamizi akitetea haki ya faragha
 
yupo USA KITU KAMA HICHO
 
Ndio nani huyo huko dar ?!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…