babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 16,296
- 20,852
Ya kweli mkuu?Yupo vyuma vimekaza siku hizi ni konda kwenye basi la hood
Yah bahama mamaNi kimara resort au Bahama mama mkuu?
Sio kwa yule mshua aiseeYupo vyuma vimekaza siku hizi ni konda kwenye basi la hood
Yah bahama mama
Joe Mziwanda awe Kondaaaaa.............wewe unachekesha.......!!!! ni Kijana Mzee aliyeamua Kubadilika Sasa hivi ni Mchungaji wa Kanisa na Pale Bahama Mama amegeuza Kanisa wakati Kampuni yake akimuachia Mwanae na Jamaa Mmoja anaitwa Kachenge wakiiendesha......kwa kweli ukienda kwa kampuni yao utadhani Kuna WADHUNGU jinsi palivyo pasafi na wafanyakazi walivyo wasafi with Uniform siyo za ''Kajamba nani''..........kwa kweli Management yake iko powa sana...........Hata Serikali za Mitaa na CCM wamesaidiwa sanaaaaaaaaaa na Jamaa huyu...........................Yupo vyuma vimekaza siku hizi ni konda kwenye basi la hood
Hujui mkongwe tunayemuongeleaYupo, siku hizi anaimba Bongo Fleva.
Mzee Mahindi ame retire sasa, mtu mzima, yupo mid 70's, Joe bado anapeta na JF, hawa ni moja wa matajiri tunaojivunia Dar, wametengeneza pesa, wame provide services, (Jambo Freight, Chick King, Muffins, Entertainment (Bahama Mama), Healthy (Gym), Real Estate), Petrol Stations, Kilimo (Tumbaku), Role Models wetu hawa, hongera zao...Umemuulizia mtu ambae sie ma "born city" nduo tunaweza kumfahamu, humu JF wengi kama asilimia 99 hivi wamekuja mjini 2000s kusoma ndio wakaishia watamjulia wapi huyo kijana wa zamani wa mjini Joe Mziwanda? Na best yake Mahindi waliomiliki Jambo Freight.. jamaa atakuwepo vizuri tu mara ya mwisho nilinsikia akiwa Tabora kwenye investments zake huko.Watoto hawa jf waulize akina sijui kihumbe au namusoma ndio watawajua mjini wamekuja na mbio za mwenge.
Jamaa yuko fit sana kusema kweli na hana mbwembwe sijui pedeshee blah blah.Mzee Mahindi ame retire sasa, mtu mzima, yupo mid 70's, Joe bado anapeta na JF, hawa ni moja wa matajiri tunaojivunia Dar, wametengeneza pesa, wame provide services, (Jambo Freight, Chick King, Muffins, Entertainment (Bahama Mama), Healthy (Gym), Real Estate), Petrol Stations, Kilimo (Tumbaku), Role Models wetu hawa, hongera zao...
Dah bora akae hukohuko.Joe Mziwanda mmoja wa Matajiri wa Zamani ambao hawana makeke
Kwa sasa ni mtumishi wa Mungu