Yuko wapi mzee wetu Kinana?

Yuko mbioni kuachia ngazi .
 
Kinana hauwezi huu mziki na ni vyema akajipumzisha kabla mtumbuaji hajafanya kazi yake!
 
Kweli jamii forum kuna watu wana comments za kijinga sana!inabidi tusajili watu kwa vyeti ndio upewe access ya ku comment!
 
Yupo China. Uliza swali jingine la kimajungu majungu.


Katibu Mkuu wa CCM, Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Chama Cha kikomunisti cha China (CPC) Ndugu Liu Yunshan, mjini Chongqing, nchini China hivi karibuni. Katika Mazungumzo hayo, Ndugu Kinana aliwawakilisha Makatibu Wakuu kutoka vyama vya Ukombozi Kusini mwa Afrika, ambao alifuatana nao nchini China.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…