johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,598
Hahaha........ Kwanini Bwashee?Utaomba ufe mapema sana ukiwa mstaafu wa TRA
Iman Mwakosya alikuwa nani BOT Mkuu??na anaishi maisha gani sasa hivi??Nikiangalia maisha anayoishi Iman Mwakosya pale Temeke na kulinganisha na kazi yake aliyokuwa anaifanya pale B.o.T aseeeh! Halafu majitu yalizopiga za EPA za kutosha yanapeta tu.
Mwanaume tafuta pesa acha kufuatilia maisha ya wanaume wenzako! Huo ndio umama sasa!Iman Mwakosya alikuwa nani BOT Mkuu??na anaishi maisha gani sasa hivi??
Jo umejawa na unafiki mwingi sanaNauliza tu Ndugu zangu huyu mwamba wa ukusanyaji kodi nchini yuko wapi siku hizi?
Yuko wapi Masamaki wa Customs?
Halafu kuna vijana hawana la kujifunza hapo TRA!
Heri Wapatanishi kwa maana wataitwa Wana wa Mungu
Tunakumbushana tu BwasheeJo umejawa na unafiki mwingi sana
Kivipi?Jiwe aliwanyanyasa Sana Hawa jamaa. Jiwe was a monster
Kapewa kazi nyeti, na kamba yake imefupishwa kidogo!Nauliza tu Ndugu zangu huyu mwamba wa ukusanyaji kodi nchini yuko wapi siku hizi?
Yuko wapi Masamaki wa Customs?
Halafu kuna vijana hawana la kujifunza hapo TRA!
Heri Wapatanishi kwa maana wataitwa Wana wa Mungu
Pumzika kwa amani Kitilya
Wewe humwamini Yesu wa kwenye biblia? watoza ushuru na makahaba lao moja, hutangulia mapema. kamsome mathayo:Nauliza tu Ndugu zangu huyu mwamba wa ukusanyaji kodi nchini yuko wapi siku hizi?
Yuko wapi Masamaki wa Customs?
Halafu kuna vijana hawana la kujifunza hapo TRA!
Heri Wapatanishi kwa maana wataitwa Wana wa Mungu
Acha umbeya!Nauliza tu Ndugu zangu huyu mwamba wa ukusanyaji kodi nchini yuko wapi siku hizi?
Yuko wapi Masamaki wa Customs?
Halafu kuna vijana hawana la kujifunza hapo TRA!
Heri Wapatanishi kwa maana wataitwa Wana wa Mungu