CCM lazima waelewe mpango wa kuirudisha Tanzania mwenye mfumo wa Chama kimoja ni kitu ambacho hakitawezeka hata wafanyeje Tanzania hii sio ile ya Nyerere
Mzee Kinana alishastaafu siasa kabla ya kubembelezwa kuja kuwa katika Mkuu wa Chama. Hana anachohitaji katika siasa, kwa hiyo kusema kazikwa kisiasa ni irrelevant