Wakuu nimemkumbuka leo mwanasiasa kinaja na waziri wa serikali ya awamu ya 4 Steven masele kapotelea wapi sijawai msikia akisema chochote toka uchaguzi wa mwaka 2015 upite je nini kimempata?
Au na yeye ni moja wapo ya watu wanaoisoma namba...
Kimya chake kinanishangaza b"se kipindi akiwa waziri alikuwa waziri machachali sana nini tatizo wenye kujua watujuze alipo ..
Anaungaje mkono juhudi kimya kimya?
Sent using
Jamii Forums mobile app