Mkazamoyo
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 1,444
- 2,428
Wadau naombeni kujua alipo huyu mchezaji wa mbeya city msimu uliopita. Nackia kitaaluma ni mwalimu je anachezea klabu gani kwasasa au ndo amerudi kwenye taaluma yake?
Binafsi nilitegemea timu kubwa za hapa bongo zingemnyemelea mara baada ya msimu ule kuisha msimu ambao mbeya city ilikuwa na mafanikio makubwa na yeye ndiye alikuwa mpachikaji wa mabao mengi ya MCC.
Mwenye kujua tafadhali wadau.