Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,494
- 12,466
Naipata Sana hii familia na sifa yao kuu watoto wote wa kiume wana miguu yenye tege la nje(miguu ya kushoto)wanapiga sana mpira hawa watu isipokua yule jamaa Shaibu Hussein amejikita kwenye udereva,baba yao(mzee daima) ni mnazi mkubwa sana wa yanga ila ni nguli wa ndumba hatari,kipindi cha shule shule kuna mdogo wao mmoja hivi aitwa Tatu Hussein teh teh teh nyumbani kwao ni pale mtwara karibu na polisi kotaz jirani na kwa masawe Ukimuona msalimie mwambie Chinga One wa jf anakusabahi sana.mdogo wake anaitwa FIKIRI HUSSEN MMACHINGA na dada yao pia wote walikuwa wachezaji wazuri tena vipaji hawa wadogo zake ni mapolisi ccm pia omari husseni huyu alikuwa majimaji ile ya garincha
Naipata Sana hii familia na sifa yao kuu watoto wote wa kiume wana miguu yenye tege la nje(miguu ya kushoto)wanapiga sana mpira hawa watu isipokua yule jamaa Shaibu Hussein amejikita kwenye udereva,baba yao(mzee daima) ni mnazi mkubwa sana wa yanga ila ni nguli wa ndumba hatari,kipindi cha shule shule kuna mdogo wao mmoja hivi aitwa Tatu Hussein teh teh teh nyumbani kwao ni pale mtwara karibu na polisi kotaz jirani na kwa masawe Ukimuona msalimie mwambie Chinga One wa jf anakusabahi sana.
Nimepamiss sana mtwara,hivi john Mental yupo?
Family legacy,full yanga kuanzia babu mpk mjukuu.sema kwenda simba alikua kazini anasaka mpunga.Hivi Mohamed Hussein na yeye ni Yanga Damu? Niliumia sana alivyo enda simba hiyo mwaka 2001.
Nimefurahi kusikia hivyo coz nilikuwa namkubali sana Mmachinga. Hata ishu ya kwenda Simba ilitokea kimagumashi tu, mpango ulikuwa asajili Moro United, ikatokea bahati mbaya baadhi ya matajiri wa Moro United walio husika na kumsajili, ni Simba Damu, wakaamua kumpeleka SimbaFamily legacy,full yanga kuanzia babu mpk mjukuu.sema kwenda simba alikua kazini anasaka mpunga.
Atakua veterani now ila alishachezea Bandari Mtwara,Simba na MajimajiAhaa naona na wao ni familia ya kandanda kama kina Julio. Omary Hussein anachezea chama gani?
Ahsante sana kwa kumbukumbu murua.Rekodi inashikiliwa na Abdallah Juma aliyecheza Mtibwa msimu wa 2004-2005 ambapo alifunga goli 25 za ligi na mpaka leo hakuna aliyefikia rekodi hiyo achilia mbali kuivunja.
Mdogo kwa Machinga ila atakua amezidi miaka 35 kibongo ni veteraniOmary Hussein alikuwa mkubwa kwa Mohamed Hussein?
Nilikuwa namkubali sana huyu striker wetu wa Dar Es salaam Young Africans..Tanzania hatotokeaga striker mwenye ubora kama MachingaMohamed hussein kwa sasa ni kocha anaekinoa kikosi cha soka toka timu ya wafanyakazi wa FINCA Microfinance Bank . huku pia akijishughulisha na kazi zake nyingine. Mara kadhaa anaonekana katika viunga vya TAN HOUSE Victoria yalipo makao makuu ya benki hiyo.
mashuti makali ya chini yanayolenga lango,na anapiga huku anakimbiaNilikuwa namkubali sana huyu striker wetu wa Dar Es salaam Young Africans..Tanzania hatotokeaga striker mwenye ubora kama Machinga
Wapi Zamoyoni Mogella (golden boy)
Omari Hussein ni mdogo alikuwa anachezea Majimaji nahisi bado yupo Songea maana alioa huko.Omary Hussein alikuwa mkubwa kwa Mohamed Hussein?