Young Warlock
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 328
- 112
Wabunge wanaojielewa hawataki kuingia ktika hii historia ya aibu!
so nae kaususia mchakato??
so nae kaususia mchakato??
posho je? kilo 3@
Unaweza kukuta Kagasheki yamemkuta yaliyomkuta Lucas Serelii aliyewahi kuwa Mbunge wa Nzega kwenye Kamati ya Richmond, na Mwakyembe.
mh!!
kwani nae anaroga??.....ili iweje??
Ili katiba rasimu feki ipite
yepi hayo yalomkuta Selelii kua yanaeza kua yamemkuta kaka yangu Kagasheki