Yuko wapi Mbunge wa Ukerewe

Nanyie wakerewe bwana! Huyo Makarabai sijui machemli sinahakika kama ni mbunge wa bunge hìli. Hapa nadhani mliingizwa cha kike bila kufahamu. Siku nyingine chagua mtu anaebeba chama sio mtu aliebebwa na chama.
 
nimecheka sana kusikia makarabhai
 
Mimi ni mdau wa maendeleo ya Wilaya ya Ukerewe.

Mbona Mbunge wetu Machemli simsikii?na kwa walioko Ukerewe vp hali ya kisiasa ya huko nyumbani?

Chagua ukawa ccm ni hatari kwa maisha yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…