Na sisi tutakula nini mkuuAnakula pension ya kazi ya kufikisha Taifa hapa lilipo
Kuleni nyasi tuNa sisi tutakula nini mkuu
Uchapakazi kwa kutumia vigezo vipi? Ili tuweze kumlinganisha na wengineHuyu mama mchapakazi ameadimika sana siku hizi, yuko wapi kwasasa? Ni mmoja kati ya mawaziri wa awamu za nyuma niliyekuwa namkubali sana.
Kuna kipindi alikuwa anashikilia rekodi ya kuwa mwanamke aliyeshikilia rekodi ya kuwa Waziri kwa muda mrefu, akihudumu katika Wizara mbalimbali kwa miaka 19 mfululizo.
Yu wapi kwasasa?
...ni mmojawapo wa akina mama wenye uwezo mkubwa sanaa na wasio na kashfa yoyote...
atakuwa analima mihogo now, shamba.Huyu mama mchapakazi ameadimika sana siku hizi, yuko wapi kwasasa? Ni mmoja kati ya mawaziri wa awamu za nyuma niliyekuwa namkubali sana.
Kuna kipindi alikuwa anashikilia rekodi ya kuwa mwanamke aliyeshikilia rekodi ya kuwa Waziri kwa muda mrefu, akihudumu katika Wizara mbalimbali kwa miaka 19 mfululizo.
Yu wapi kwasasa?
hata majaliwa alikua team lowasaNahisi atakuwa team lowasa, team lowasa wote wako kimya, ukileta maneno mengi tu, wanakula kichwa wazee wa hapa kazi tu.