Darren2019
JF-Expert Member
- Nov 23, 2019
- 1,111
- 2,415
Yupo kwao Musoma anavua kamongo na sangaraWasalaam wakuu,
Nimemkumbuka tu huyu kiongozi aliyekuwa RC wa Morogoro hasa kwa alivyolalama vile alivyovuliwa uRC ilikuwa ni kama maisha yake yalikuwa yashindwe kwenda.
Hakulalamika yeye,aliyelalamika ni Dr mmoja wa mifugoWasalaam wakuu,
Nimemkumbuka tu huyu kiongozi aliyekuwa RC wa Morogoro hasa kwa alivyolalama vile alivyovuliwa uRC ilikuwa ni kama maisha yake yalikuwa yashindwe kwenda.
Anashinda kwa waganga kumroga Jiwe amteue tena.Wasalaam wakuu,
Nimemkumbuka tu huyu kiongozi aliyekuwa RC wa Morogoro hasa kwa alivyolalama vile alivyovuliwa uRC ilikuwa ni kama maisha yake yalikuwa yashindwe kwenda.
Naye alikuwa Rc wa Moro? Nakumbuka alilia kweli, nkiwaza na hii corona sijui atakuwa wapi asee [emoji16]Utakuwa umemchanganya na yule mzee wa nimekosa mimi! Mh. Rajabu.
Tunaomba video plzHakulalamika yeye,aliyelalamika ni Dr mmoja wa mifugo
Dr rajabu rutengwe
Dah! Haya maisha bwana yaache tu.Kusema ukweli huyu mzee alitia aibu na kuidhalilisha phd yake, maana alilia kwa uchungu sana lakini hawa wakisimama majukwaani utasikia vijana mjiajiri vijana mjiajiri wanadhani kazi rahisi kujiajiri huku huna mtaji...