Yule sidhani kama atakuja kurudi katika hali yake ya kawaida. Mtu aliyefikia hatua ya kutishia kumfukuza kazi Waziri na Msajili wa vyama akiwa KM wa chama na kupanda hadi kuwa KMK leo kujikuta yuko bungeni bila jimbo anapitia sonona iliyoenda shule.

Anaona aibu na anajuta kukubali uteuzi wa kuwa katibu mkuu wa CCM na hatimaye kuwa katibu mkuu kiongozi aliyehudumu kwa mwezi mmoja na siku kadhaa kwa aibu anayojisikia naamini anatamani hata dunia mwisho wake ufike haraka.