Papaa Gx
JF-Expert Member
- Oct 10, 2016
- 10,092
- 15,673
Jokic mtu na nusu yule. Kwake suala la triple double ni kawaida kabisa double double ndio balaa Sasa.
MVP mwaka huu kuna possibility kubwa kwenda kwa Jokic au Joel Embiid, ambao ni centers.
Wa mwisho kushinda
MVP akiwa ni center ni Shaquille O'Neil, mwaka 2000. Imagine, 20 years.
Game imechange. Hasheem hakuchange na game ana hakuwa akifanya juhudi zaidi kwenye mazoezi.