Alisifika kwa burudani ya nyimbo za injili, akazinguana mumewe na kutengana naye! Akapata mpendwa mpya naamini ametulizwa kutokana na ukimya unaojitokeza.
Majirani tupeni abc zake maana si vibaya kujifunza kupitia kioo hiki cha jamii
Msela kamtuliza anajua kazi yake, mbasha alikuwa bado mtoto utaendaje kuchezacheza na mkeo mbele ya kamera na mkarudi nyumbani akuheshimu, angefanya hata garage
Msela kamtuliza anajua kazi yake, mbasha alikuwa bado mtoto utaendaje kuchezacheza na mkeo mbele ya kamera na mkarudi nyumbani akuheshimu, angefanya hata garage