Baba V JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 19,479 Reaction score 9,546 Oct 12, 2013 #21 Wanasiasa mfu ccm ndio kaburi lao.
N ndomyana JF-Expert Member Joined Jan 24, 2012 Posts 5,724 Reaction score 2,262 Oct 12, 2013 #22 kimeta cha ufisadi said: Yupo tena ni maarufu kuliko alipo kuwa kwenye maandamano alikuwa anapoteza hela zake kuendeshea maandamano saizi kiulaini na taaluma yake. Click to expand... nipo aoa mbeya sjawai mwona hyu mtu wala kumsikia, ingawa na mwanasheria ila nahsi yupo ka,a sero huko kwenye chama cha mihadarati
kimeta cha ufisadi said: Yupo tena ni maarufu kuliko alipo kuwa kwenye maandamano alikuwa anapoteza hela zake kuendeshea maandamano saizi kiulaini na taaluma yake. Click to expand... nipo aoa mbeya sjawai mwona hyu mtu wala kumsikia, ingawa na mwanasheria ila nahsi yupo ka,a sero huko kwenye chama cha mihadarati
K kigoda JF-Expert Member Joined Oct 15, 2012 Posts 1,781 Reaction score 359 Oct 12, 2013 #23 Hahahahahaaaa! Hapo tu ndipo nawakubali ccm. Wakikuzoa tu dampo moja kwa moja na hawana haja tena nawe.
Hahahahahaaaa! Hapo tu ndipo nawakubali ccm. Wakikuzoa tu dampo moja kwa moja na hawana haja tena nawe.
K Kassim Awadh JF-Expert Member Joined Mar 12, 2012 Posts 884 Reaction score 187 Oct 12, 2013 #24 ndomyana said: nipo aoa mbeya sjawai mwona hyu mtu wala kumsikia, ingawa na mwanasheria ila nahsi yupo ka,a sero huko kwenye chama cha mihadarati Click to expand... Sambweee alikuwa jeshini na kufikia cheo cha Capt?
ndomyana said: nipo aoa mbeya sjawai mwona hyu mtu wala kumsikia, ingawa na mwanasheria ila nahsi yupo ka,a sero huko kwenye chama cha mihadarati Click to expand... Sambweee alikuwa jeshini na kufikia cheo cha Capt?
T tweve JF-Expert Member Joined Jan 23, 2011 Posts 694 Reaction score 146 Oct 12, 2013 #25 mwe matambala ya watu! Wameshamtupa kama condom!
DALLAI LAMA JF-Expert Member Joined Jan 31, 2012 Posts 8,652 Reaction score 2,642 Oct 12, 2013 #26 MchunguZI said: Cheo kikubwa? Bado unakumbuka mambo ya chama kushika hatamu? NEC ya CCM Ina watu wasiyojua kusoma mpaka Leo hii! Click to expand... You're great bro.Nami nlitaka kumjibu ivyo hivyo.Ujumbe wa CCM NEC ni sawa na ubalozi wa nyumba kumi.
MchunguZI said: Cheo kikubwa? Bado unakumbuka mambo ya chama kushika hatamu? NEC ya CCM Ina watu wasiyojua kusoma mpaka Leo hii! Click to expand... You're great bro.Nami nlitaka kumjibu ivyo hivyo.Ujumbe wa CCM NEC ni sawa na ubalozi wa nyumba kumi.
K kimeta cha ufisadi JF-Expert Member Joined Sep 23, 2011 Posts 398 Reaction score 70 Oct 12, 2013 #27 Kwani chadema alikuwa na cheo gani? Usaliti wa Slaa kwenda Chadema ni mzuri? Waambie hao wanywa vitoba. Kaka Fred Mushi
Kwani chadema alikuwa na cheo gani? Usaliti wa Slaa kwenda Chadema ni mzuri? Waambie hao wanywa vitoba. Kaka Fred Mushi
T tenende JF-Expert Member Joined Jan 10, 2012 Posts 6,511 Reaction score 506 Oct 13, 2013 #28 kimeta cha ufisadi said: Yupo tena ni maarufu kuliko alipo kuwa kwenye maandamano alikuwa anapoteza hela zake kuendeshea maandamano saizi kiulaini na taaluma yake. Click to expand... Anatumia taratiibu hela alizouzia jimbo kwa MWAJALI.
kimeta cha ufisadi said: Yupo tena ni maarufu kuliko alipo kuwa kwenye maandamano alikuwa anapoteza hela zake kuendeshea maandamano saizi kiulaini na taaluma yake. Click to expand... Anatumia taratiibu hela alizouzia jimbo kwa MWAJALI.
T tenende JF-Expert Member Joined Jan 10, 2012 Posts 6,511 Reaction score 506 Oct 13, 2013 #29 kimeta cha ufisadi said: Kwani chadema alikuwa na cheo gani? Usaliti wa Slaa kwenda Chadema ni mzuri? Waambie hao wanywa vitoba. Kaka Fred Mushi Click to expand... Vikoje hivyo?
kimeta cha ufisadi said: Kwani chadema alikuwa na cheo gani? Usaliti wa Slaa kwenda Chadema ni mzuri? Waambie hao wanywa vitoba. Kaka Fred Mushi Click to expand... Vikoje hivyo?