Bururu
JF-Expert Member
- May 21, 2016
- 877
- 584
Naomba kujua wanajamvi huyu kiongozi aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Shinyanga yuko wapi?
Ni mtendaji na mtumishi wa kuaminika, kila mkazi wa Shinyanga anamkubali sana, hakupenda masikini waonewe, hakupendelea chama cha siasa, alinyanyua elimu ya mkoa wa Shinyanga kwa kiwango cha juu sana, wilaya ya Bariadi ambayo kwa sasa iko mkoa wa Simiyu ilipata mwakilisha wa kweli, ameitetea na kuijenga.
Ila kwa sababu hakuwa mpokea rushwa ikawa kero kwa viongozi wenzake hasa wa ngazi za juu yake, kila alikofanyakazi ameacha heshima ya njuu, iweje mtu kama uyu anafichwa? Serikari au vyama vya siasa mtafuteni kiongozi wa kweli.