Yuko wapi Bert Shekland?

fimboyaasali

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
8,617
8,239
Huyu alikuwa miongoni mwa washindanaji wazuri sana wa kukimbiza magari enzi za east african safari rally,miaka ya 70 je kuna mtu ana taarifa zozote kuhusu yeye na navigator wake bjorn waldegard?
 
Bert Shekland na mwezie Chris Bert

Huyo Sherkiland alikuwa wakala wa kampuni ya magari aina ya Peogeut yalikuwa yanatengenezwa Ufaransa

Aliiwakilisha kampuni hiyo katika mashindano ya kukimbiza magari yaliyokuwa yanajulikana kama East African Safari yakicover nchi zote za afrika mashariki, yalipitia milima ya Ruwenzori Uganda na Milima ya usambala hapa Tanzania. Mheshimwa Sherkiland alishinda mashindano hayo mwaka wa 1966 na 1967

Bingwa huyu wa kukimbiza magari aliisha fariki kitambo

Mods muvuzisha thread hii kwenye jukwaa la michezo nipo inastahili kuwepo
 
Asante kwa taarifa
 
Back
Top Bottom