johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,522
- Thread starter
-
- #21
😀😀😂 Watu Wenye Akili nyingiSingle Ben alijulikana hivyoo miaka ile anafundisha Twisheni A Level maeneo ya Majumba Sita karibu na banana.
Mwambia alikuwa haiingii na notice wa kitabu kika kotu kaweka kichwa, yuko na chaki yake tu alianza kutiririka na masomo.ya Phisics, chemistry na hesabu yaani utapenda mwenyewe.
CHADEMA imebarikiwa kuwa na.watu wanted AKILI nyingi. Benison Kigaioa no mmoja wao.
Enzi za Karume mdogo kama Rais wa Zanzibar,kijana wake wa umri wa miaka kama 14 au 16 alikamatwa na polisi mitaa ya darajani Unguja.Yeye badala ya kusimama na kuitika wito wa polisi akawa anatukana kwa kuwaonyesha kidole cha katikati cha mkono.Walimdaka na kupatia kipigo hasa na kutupia kwenye gari lao.Utata ulianza alipokuwa na anahojiwa kwa ajili ya kuandikisha maelezo.Sijui nini kilitokea mara walipogundua kuwa alikuwa mtoto wa mkuu wa nchi.Kuna na huyu hapa:
View attachment 2769460
Kwamba babaake angali ofisini akiuhudumia umma? Au wote wenu role model ni Mama Abduli na mwanawe?
Enzi za Karume mdogo kama Rais wa Zanzibar,kijana wake wa umri wa miaka kama 14 au 16 alikamatwa na polisi mitaa ya darajani Unguja.Yeye badala ya kusimama na kuitika wito wa polisi akawa anatukana kwa kuwaonyesha kidole cha katikati cha mkono.Walimdaka na kupatia kipigo hasa na kutupia kwenye gari lao.Utata ulianza alipokuwa na anahojiwa kwa ajili ya kuandikisha maelezo.Sijui nini kilitokea mara walipogundua kuwa alikuwa mtoto wa mkuu wa nchi.
Chadema watu hawalali wapo field,Huyu Naibu Katibu mkuu wa CHADEMA upande wa Tanganyika mh Benson Kigaila hajasikika akimwaga cheche kama alivyozoeleka kwa muda mrefu
Yuko wapi huyu Mwamba?
OkAnakagua misitu na mbuga zetu, anahesabu tembo
MBONA YEYE HAJAKUULIZA ULIPO? UNGEMUULIZA ALIPO MZEE MANGULA INGEKUWA POAHuyu Naibu Katibu mkuu wa CHADEMA upande wa Tanganyika mh Benson Kigaila hajasikika akimwaga cheche kama alivyozoeleka kwa muda mrefu
Yuko wapi huyu Mwamba?
nguvu ya asali katika kulainisha sauti za ngurumo zenye scratch na bezi dhidi ya serikali inafanya kazi vizuri...Huyu Naibu Katibu mkuu wa CHADEMA upande wa Tanganyika mh Benson Kigaila hajasikika akimwaga cheche kama alivyozoeleka kwa muda mrefu
Yuko wapi huyu Mwamba?
Mkewe kuwa mmoja wa wale wabunge wa Yobo kusingeweza kumwacha na bashasha lake lile lile siku zote kwenye ukombozi hata kama angekuwa na moyo wa jiwe.
Familia nazo hukwaza .. ndiyo maana Mama Abduli hatumwelewi elewi!
Huyu ni nani mkuu?Kuna na huyu hapa:
View attachment 2769460
Kwamba babaake angali ofisini akiuhudumia umma? Au wote wenu role model ni Mama Abduli na mwanawe?
Huyu ni nani mkuu?
Kumbe ndiyo maana hao polisi wamekuwa waungwana japo analeta jeuri utadhani siyo polisi wa Tanzania! Ingekuwa ni mwananchi wa kawaida angeshushiwa kipigo kikali kweli kweli.Huyo ni mwana wa kiongozi wetu mkuu anayesimamia bora utawala
Huyu mzee naona arudie tu zile mishe zake idadi ya tembo imeongezeka sana hadi wanaingia uraianiYupo wapi Kinana?
Jee mwenyekiti wenu amewaaga ? Achana na Chadema mkuuHuyu Naibu Katibu mkuu wa CHADEMA upande wa Tanganyika mh Benson Kigaila hajasikika akimwaga cheche kama alivyozoeleka kwa muda mrefu
Yuko wapi huyu Mwamba?
Ni nani huyo?Kuna na huyu hapa:
View attachment 2769460
Kwamba babaake angali ofisini akiuhudumia umma? Au wote wenu role model ni Mama Abduli na mwanawe?
Ni nani huyo?