Mkuu. Hata Zanzibar ni hayo hayo tu, Tanzania ili ipate uhuru kamili kama taifa labda CDF achoke nq dharma, tofauti na hapo hayupo mwanasiasa, hayupo mtu yoyote yule atakaeweza kuwa against na serikali akawa salamaSio watanzania,sema WATANGANYIKA.
Maana Zanzibar huwezi kuwaletea usengerema kama huu.Mnakumbuka kipindi cha hayati Malim Seif.jamaa pasingekarika
Yupo na mambo yake...
Yeah hukohuko kwenye mamboye Mungu ampiganie! Siasa sio kitu kizuriYupo na mambo yake...