Panzi Mbishi
JF-Expert Member
- Mar 8, 2021
- 2,101
- 2,730
Wakuu Salaam,
Nisiwapotezee muda, miaka ya nyuma kulikuwa na shindano la wadada lililodhaminiwa na Twanga Pepeta na Manywele Entertainment.
Sikumbuki lilifanyika mara ngapi lakini mwaka 2006 kuna dada alifahamika kama Anti Lulu ndiye aliibuka kidedea wa taji la Kimwana Manywele wa Twanga akakabidhiwa zawadi ya gari.
Yuko wapi? Kale kaumaarufu kalimsaidia chochote? Ana hali gani kwa sasa?
Nawasilisha.