Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,300 Reaction score 108,330 Feb 24, 2014 #21 Mr. Bigman said: Niko nafanya utafiti mkuu Click to expand... Haya mkuu kila la kheri...
SAGAI GALGANO JF-Expert Member Joined Nov 13, 2009 Posts 49,973 Reaction score 75,055 Feb 25, 2014 #22 Lyimo said: Huyu Jogoo yupo, bada yupo ngangari kweynye ulingo wa SIASA za kitanzania. Anajiandaa kutetea jimbo lake la VUNJO... View attachment 141084 Click to expand... Ama kweli hujafa hujaumbika.
Lyimo said: Huyu Jogoo yupo, bada yupo ngangari kweynye ulingo wa SIASA za kitanzania. Anajiandaa kutetea jimbo lake la VUNJO... View attachment 141084 Click to expand... Ama kweli hujafa hujaumbika.
M Makupa JF-Expert Member Joined Apr 11, 2011 Posts 7,235 Reaction score 4,342 Feb 25, 2014 #23 Magesi said: Wana Jf Kama kuna mwenye taarifa zozote za karibuni kumhusu Mwenyekiti wa TLP ambye pia na Mbunge wa Vunjo atujuze Mh.Agustine Lyatonga Mrema. Click to expand... Amekuwa msanii siku hizi,juzi juzi alikuwa Vunjo anasimamia mashindano ya mpira lol
Magesi said: Wana Jf Kama kuna mwenye taarifa zozote za karibuni kumhusu Mwenyekiti wa TLP ambye pia na Mbunge wa Vunjo atujuze Mh.Agustine Lyatonga Mrema. Click to expand... Amekuwa msanii siku hizi,juzi juzi alikuwa Vunjo anasimamia mashindano ya mpira lol
dogojanja 87 JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 882 Reaction score 213 Feb 25, 2014 #24 hivi jumuiya ya vijana ya chama chake inaitwaje?
Ushirombo JF-Expert Member Joined Jan 22, 2013 Posts 3,558 Reaction score 2,711 Feb 25, 2014 #25 hv huwa anaumwa nini mrema? Kuna mtu anapicha yake enzi zile za 1995? Plz attach nimuone coz that tym nilikua katoto sana
hv huwa anaumwa nini mrema? Kuna mtu anapicha yake enzi zile za 1995? Plz attach nimuone coz that tym nilikua katoto sana
G gambalakiunoni Member Joined Jan 21, 2014 Posts 86 Reaction score 1 Feb 25, 2014 #26 huyu mzee kachoka kwelikweli anaonekana anaumwa ugonjwa wa maisha magumu wampe mafao yake yote akawahi maisha ya milele huko kirarachi.
huyu mzee kachoka kwelikweli anaonekana anaumwa ugonjwa wa maisha magumu wampe mafao yake yote akawahi maisha ya milele huko kirarachi.
M mwanamakambako JF-Expert Member Joined Jan 3, 2014 Posts 780 Reaction score 120 Feb 25, 2014 #27 Ccm huyo, hana jipya, kashakufa kisiasa.
A annalolo JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 309 Reaction score 25 Feb 25, 2014 #29 mzee yuko fiti nilimuona akila parachichi na ndizi ya kuchoma pale marangu mtoni kavaa dont touch na santana
mzee yuko fiti nilimuona akila parachichi na ndizi ya kuchoma pale marangu mtoni kavaa dont touch na santana
Ndikwega R I P Joined Feb 1, 2012 Posts 5,979 Reaction score 5,529 Feb 25, 2014 #30 Unafiki wake ndiyo umemfanya apotee kisiasa,maana ni mtetezi mkubwa wa kikwete pamoja na serikali ya ccm.
Unafiki wake ndiyo umemfanya apotee kisiasa,maana ni mtetezi mkubwa wa kikwete pamoja na serikali ya ccm.
K Kukamido JF-Expert Member Joined Apr 22, 2013 Posts 853 Reaction score 204 Feb 25, 2014 #31 DOUGLAS SALLU said: Ama kweli hujafa hujaumbika. Click to expand... mzee mrema anatakiwa apumzike,kiafya naona hayuko fiti!
DOUGLAS SALLU said: Ama kweli hujafa hujaumbika. Click to expand... mzee mrema anatakiwa apumzike,kiafya naona hayuko fiti!
frema120 JF-Expert Member Joined Jan 1, 2012 Posts 5,098 Reaction score 1,341 Feb 26, 2014 #32 Ushirombo said: hv huwa anaumwa nini mrema? Kuna mtu anapicha yake enzi zile za 1995? Plz attach nimuone coz that tym nilikua katoto sana Click to expand... kisugar ndio problem
Ushirombo said: hv huwa anaumwa nini mrema? Kuna mtu anapicha yake enzi zile za 1995? Plz attach nimuone coz that tym nilikua katoto sana Click to expand... kisugar ndio problem
msaranga1 JF-Expert Member Joined Feb 24, 2013 Posts 333 Reaction score 273 Feb 26, 2014 #33 anakula mafao kotekote yan bungen, kwenye chama coz yeye ndio chair man na mafao mengine ni naibu waziri mkuu mstaaf
anakula mafao kotekote yan bungen, kwenye chama coz yeye ndio chair man na mafao mengine ni naibu waziri mkuu mstaaf
G gipson gippy New Member Joined Dec 22, 2013 Posts 4 Reaction score 0 Feb 26, 2014 #34 Anajipanga kupeperusha bendera ya chama(TLP)2015
Wimbo JF-Expert Member Joined Oct 23, 2012 Posts 886 Reaction score 664 Feb 26, 2014 #35 Mrema ana historia ya kutukuka kuliko hata huyo aliyemteua akitoweka watamsahau haraka lakini Lyatonga Historia yake inasimama, hata Nyerere mwenyewe alimkubali, Lyatonga tunakutegemea sana kwenye Bunge la Katiba.
Mrema ana historia ya kutukuka kuliko hata huyo aliyemteua akitoweka watamsahau haraka lakini Lyatonga Historia yake inasimama, hata Nyerere mwenyewe alimkubali, Lyatonga tunakutegemea sana kwenye Bunge la Katiba.
M mokala1989 JF-Expert Member Joined May 4, 2013 Posts 2,236 Reaction score 730 Feb 26, 2014 #36 Mzee wa KIRARACHA, MARANGU, MOSHI VIJIJINI.
Bukwabi JF-Expert Member Joined Dec 30, 2013 Posts 3,352 Reaction score 1,154 Feb 26, 2014 #37 Yuko chalinze, wazee mwisho ............
VANCOUVER JF-Expert Member Joined Feb 26, 2014 Posts 336 Reaction score 20 Feb 26, 2014 #38 Yupo bungeni kwenye bunge la katiba.Anachukua 300,000 yake kwa siku.
M mmaranguoriginal. JF-Expert Member Joined Jan 1, 2014 Posts 4,060 Reaction score 460 Feb 26, 2014 #39 hawezi tena siasa za mikiki ya kipindi hiki
UPOPO JF-Expert Member Joined Dec 17, 2010 Posts 3,696 Reaction score 6,045 Mar 28, 2021 #40 Mrema yuko wapi jamani .Mzee wa kiraracha sijamwona hata kuomboleza kifo cha Magufuli