Yuko wapi Agustine Lyatonga Mrema?

Magesi

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2012
Posts
2,587
Reaction score
578
Wana Jf Kama kuna mwenye taarifa zozote za karibuni kumhusu Mwenyekiti wa TLP ambye pia na Mbunge wa Vunjo atujuze Mh.Agustine Lyatonga Mrema.
 
Wana Jf Kama kuna mwenye taarifa zozote za karibuni kumhusu Mwenyekiti wa TLP ambye pia na Mbunge wa Vunjo atujuze Mh.Agustine Lyatonga Mrema.

Yupo bungeni, anapatikana sana kwenye Guest yake pale Do
 
Ulikuwa unahitaj taarifa za namna gan!umeweka kwa upana sana
 
yupo kwa babu loliondo anapata vikombe, teh......teh.....te.....teh.....teh....teh....teh....
 
yupo kwa babu loliondo anapata vikombe, teh......teh.....te.....teh.....teh....teh....teh....
Vp hali yake ya kiafya? Ushiriki wake katika kutimiza wajibu wake kibunge?
 
Yupo anaumwa dege dege, vipi unayo tiba umsaidie mzee wetu?
 
Huyu Jogoo yupo, bada yupo ngangari kweynye ulingo wa SIASA za kitanzania. Anajiandaa kutetea jimbo lake la VUNJO...

Yuko marangu anakula bata na bibi yetu.mrema bwana mbwembwe zote za 1995 zimeishia mgombani.teh teh teh teh.
 
Yupo viunga vya Hazina anafuatilia Mafao yake ya Unaibu Waziri Mkuu.
 
Wana Jf Kama kuna mwenye taarifa zozote za karibuni kumhusu Mwenyekiti wa TLP ambye pia na Mbunge wa Vunjo atujuze Mh.Agustine Lyatonga Mrema.

Week kama 2 zilizopita nilimwona kwenye magazeti anafungua tawi la NMB Himo gazeti la mwananchi.hebu mpigie Tido Muhando mtendaji mkuu wa mwananchi communication ltd lazima atajua alielekea pande zipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…