Yuko wapi Afande Ernest Mangu (IGP Mstaafu)

Mwacheni apumzike zake, huyu kamanda hakupenda 'unyumbu' kabisa alisimama ktk anachokiamini na chenye maadili.
 
km mshahara wake unaingia shida iko wapi?

mwache asome magazeti awezavyo, kwanza kapunguziwa mengi

unafikiri hiyo nafasi niya kispoti spoti?
Kuna sehemu nimeandika kuna shida yoyote IGP kusoma magazeti na kurudi home?

In white-collar crime, there are ink stains instead of bloodstains.
 
Kwanini hakupangiwa kazi nyingine?? Muulize anaye wapangia kazi au kama unaweza MSHURUTISHE ampangie vinginevyo humu JF itakuwa vigumu kujua kwanini hakupangiwa!

Sent using Jamii Forums mobile app
Usiseme hivyo,mzee anaweza akapandisha jazba akamrudisha kua mkuu wa kituo ohoooo,hahah.

In white-collar crime, there are ink stains instead of bloodstains.
 
Wakati Rais Magufuli anasema anabana matumizi, lakini kuna fedha nyingi zinapotelea kwa maofisa waliosemwa watapangiwa kazi nyingine.
Hesabu kutoka kwa wakurugenzi wa halmashauri waliowekwa pembeni baada ya uteuzi hadi ngazi za juu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Papa Benedicto XIV na Papa Francis kwani wanaishi pamoja? Ili kuepuka muingiliano wa lazima afichwe mbali, watiifu kwake bado wapo
 
Tusubirie huenda kazi aliyotakiwa kupangiwa haijapatikana labda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…