Greatest Of All Time
Platinum Member
- Jan 1, 2017
- 26,550
- 62,022
Kumbe bado anakula nchi tuNi STAFF OFFICER pale pale Police makao mkuu Ohio/Ghana road
Aisee anasubiria muda wake wa kustaafu ufike ili apate kiinua mgongo chake vinginevyo angejiuzuru siku nyingi
Sasa ukipangiwa upelekwe makao makuu halafu hakuna kazi unayopewa, si ndiyo wamekumalizaSi nilisikia atapangiwa majukumu mengine mkuu
anhaa nadhani ndio atastaafia hukoSasa ukipangiwa upelekwe makao makuu halafu hakuna kazi unayopewa, si ndiyo wamekumaliza
Kwahiyo kazi yake sasa hivi ni kusoma magazeti?Ni STAFF OFFICER pale pale Police makao mkuu Ohio/Ghana road
inaonekana alikuwa bosi wakoKwahiyo kazi yake sasa hivi ni kusoma magazeti?
Huyo IGP mstaafu "kosa" lake kubwa lililofanya atumbuliwe na Mkulu ni kukataa kutekeleza maagizo toka juu..............