G Gven New Member Joined Jan 2, 2023 Posts 4 Reaction score 2 Apr 6, 2023 #21 KatKit said: wewe utaisaidia mahakama, unaonekana unajua mambo mengi. Click to expand... 🤣🤣🤣🤣
Katkit JF-Expert Member Joined Mar 12, 2023 Posts 1,907 Reaction score 4,716 Apr 6, 2023 Thread starter #22 Kazitunayo said: Hii nchi bana yeye ni mtumishi kwamba hawezi kua likizo kwa mujibu wa sheria? Click to expand... Umesoma thread vizuri ukaielewa mkuu?, naona kama umekurupuka hivi.
Kazitunayo said: Hii nchi bana yeye ni mtumishi kwamba hawezi kua likizo kwa mujibu wa sheria? Click to expand... Umesoma thread vizuri ukaielewa mkuu?, naona kama umekurupuka hivi.
PAGAN JF-Expert Member Joined Aug 19, 2014 Posts 13,264 Reaction score 22,145 Apr 6, 2023 #23 Jack Daniel said: Halafu hii tabia ya mtu kupigwa na mwanaume mwenzio hii imekaaje, unashindwa kuokota hata mawe, 1.Mbasha alipigwa mtama na huyu jamaa 2.Q chief naye .......... Hawa wanaopigwa wapunguze uboya Click to expand... Anawapiga wanawake wenzie, siku akiyakanyaga kwa mwanaume dentist atahusika.
Jack Daniel said: Halafu hii tabia ya mtu kupigwa na mwanaume mwenzio hii imekaaje, unashindwa kuokota hata mawe, 1.Mbasha alipigwa mtama na huyu jamaa 2.Q chief naye .......... Hawa wanaopigwa wapunguze uboya Click to expand... Anawapiga wanawake wenzie, siku akiyakanyaga kwa mwanaume dentist atahusika.
Detective J JF-Expert Member Joined Oct 17, 2016 Posts 29,049 Reaction score 51,608 Apr 7, 2023 #24 Jack Daniel said: Halafu hii tabia ya mtu kupigwa na mwanaume mwenzio hii imekaaje, unashindwa kuokota hata mawe, 1.Mbasha alipigwa mtama na huyu jamaa 2.Q chief naye .......... Hawa wanaopigwa wapunguze uboya Click to expand... Haha sometimes anae kupiga is physicaly superior na wana tactical advantage so unakuwa mdogo tu. Kama angepiga mawe kesi angefungua wapi? Wengine wanakutega uwapige wakubane kwenye kesi
Jack Daniel said: Halafu hii tabia ya mtu kupigwa na mwanaume mwenzio hii imekaaje, unashindwa kuokota hata mawe, 1.Mbasha alipigwa mtama na huyu jamaa 2.Q chief naye .......... Hawa wanaopigwa wapunguze uboya Click to expand... Haha sometimes anae kupiga is physicaly superior na wana tactical advantage so unakuwa mdogo tu. Kama angepiga mawe kesi angefungua wapi? Wengine wanakutega uwapige wakubane kwenye kesi
Sultan MackJoe Khalifa JF-Expert Member Joined Nov 24, 2022 Posts 7,697 Reaction score 15,966 Apr 7, 2023 #25 uwa anaangalia wa kuwapiga.siku ajikwae kwa mtu kama G Solo au Kalapina ataacha izo tabia mbovu.
Njemba Soro. JF-Expert Member Joined Oct 5, 2013 Posts 4,259 Reaction score 7,376 Apr 7, 2023 #26 Omar B Salum said: wewe utaisaidia mahakama, unaonekana unajua mambo mengi. Click to expand... lini?
Makari hodari JF-Expert Member Joined May 17, 2022 Posts 3,658 Reaction score 7,092 Jun 17, 2023 #27 Katkit said: Umesoma thread vizuri ukaielewa mkuu?, naona kama umekurupuka hivi. Click to expand... Wewe ndo hukuelewa
Katkit said: Umesoma thread vizuri ukaielewa mkuu?, naona kama umekurupuka hivi. Click to expand... Wewe ndo hukuelewa