Yuko Wapi Abasi Kandoro?

Amestaafu,bila shaka atakua kajipumuzisha yeye na familia yake akifanya shughuli zisizo za kiserikali.
 
Yuko Kilolo Iringa analima nyanya, kama Ilivyo kwa Mashishanga yupo Mvomelo analima mpunga.
 
Back
Top Bottom