Mna mnanga mitandaoni halafu mnauliza yuko wapi?Kwa sasa yeye ndio ameshikilia injini ya nchi hivyo ukimya wake unatia shaka.
Mara ya mwisho ilisemekana yupo Washington USA wakati wa uzinduzi wa royal tour. Lakini toka wakati huo hajasikika tena na wakati haikuwa kawaida kumaliza wiki bila kusikika au kuonekana kwenye jambo lolote toka ilipoingia awamu ya sita na sasa ni takribani mwezi.
Je bado yupo mapumziko nchi za nje au kuna tatizo lolote? Tumemmiss mzee wetu.
MkuuYupo anajipanga na mashambulizi ya yoga na mipango ya Tumia akili
Hii pia ni code.😂Mkuu
Unaaaminije story za code Zina mhusu!??utaweka watu MATATIZONI wewe!!?
Nasikia kaimarisha ulinzi hapo Msoga!! kulikoni!? katishwa na yoga?kwa sasa ameamua atulie nyumbani kwani askari wake wa mwamvuli comrade Kinana yupo kwenye usukani
Yupo anakula kuku Kwa mrija baada ya Kazi kubwa ya ujenzi wa Taifa.🤔Kwa sasa yeye ndio ameshikilia injini ya nchi hivyo ukimya wake unatia shaka.
Mara ya mwisho ilisemekana yupo Washington USA wakati wa uzinduzi wa royal tour. Lakini toka wakati huo hajasikika tena na wakati haikuwa kawaida kumaliza wiki bila kusikika au kuonekana kwenye jambo lolote toka ilipoingia awamu ya sita na sasa ni takribani mwezi.
Je bado yupo mapumziko nchi za nje au kuna tatizo lolote? Tumemmiss mzee wetu.
Anamuhofia Paulo Kagame aka mzee wa visasi na vilipiziNasikia kaimarisha ulinzi hapo msoga !!kulikoni !!?katishwa na yoga?
Askari wa mwamvuli ivi maana yake ni ninikwa sasa ameamua atulie nyumbani kwani askari wake wa mwamvuli comrade Kinana yupo kwenye usukani