mwakajingatky JF-Expert Member Joined May 30, 2018 Posts 558 Reaction score 927 Jul 13, 2019 #41 UPOPO said: Nilimwona kwa maombi kwa TB Joshua alipokuwa Israel. Mama piga maombi taifa lipone mama yetu. Haya mengine mbwembwe tu Click to expand... nilimuona pia...
UPOPO said: Nilimwona kwa maombi kwa TB Joshua alipokuwa Israel. Mama piga maombi taifa lipone mama yetu. Haya mengine mbwembwe tu Click to expand... nilimuona pia...
Hismastersvoice JF-Expert Member Joined Jan 26, 2013 Posts 23,916 Reaction score 29,247 Jul 13, 2019 #42 ESCORT 1 said: Ni takribani wiki moja tangu Rais Magufuli atue Chato kwa mapumziko. Katika kipindi hiko hatujamuona mama Janeth. Rais Kenyatta ameenda Chato, mama Janeth hajaonekana. Leo tumezindua mbuga, mama Janeth hajaonekana. Je mama Janeth ni yu wapi? Click to expand... Haujui kuwa shule ndiyokwanza zimefungua! Nenda darasani kwake utamkuta.
ESCORT 1 said: Ni takribani wiki moja tangu Rais Magufuli atue Chato kwa mapumziko. Katika kipindi hiko hatujamuona mama Janeth. Rais Kenyatta ameenda Chato, mama Janeth hajaonekana. Leo tumezindua mbuga, mama Janeth hajaonekana. Je mama Janeth ni yu wapi? Click to expand... Haujui kuwa shule ndiyokwanza zimefungua! Nenda darasani kwake utamkuta.