Yu Wapi Kamanda Ole Milya

Kasheshe

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2007
Posts
4,694
Reaction score
793
Samahanini... sijamsikia huyu kijana mchapakazi, kamanda wa ukweli, yu wapi?
 
Toka M4C isimame kwa sababu ya ishu za POLISI sijamsikia... Ila kuna mkutano mmoja juzi kati nilimuona pamoja na BANANGA......
 
yupo pale kwenye klabu ya Via Via Arusha. Sijui ana ishu gani pale ila Mrisho Gambo aliwahi kudai kuwa Millya anapika chapati hapo.
 
Yupo alikuwa nnjee ya nchi kaja juzi mrisho gambo hana lolote yeye bila kuwa mtoto wa njee wa kikwete angekuwa wapi,
 
Anajutia sn uamuz wake ht km ali2mwa na enl kama gzt la m.halisi lilivyowahi kuripoti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…