Greatest Of All Time
Platinum Member
- Jan 1, 2017
- 26,550
- 62,021
HahahaaaaaWakuu habari zenu,
Naombeni mnijuze alipo Kamanda mtata na mbabe Ahmed Msangi ambaye mara ya mwisho alikuwa RPC wa Mwanza.
Ha! Ha! Ha! malipo ni hapahapa , Damu ya Ulimboka haiwezi kwenda hivihivi , yuko makao makuu anasoma magazeti tu .Wakuu habari zenu,
Naombeni mnijuze alipo Kamanda mtata na mbabe Ahmed Msangi ambaye mara ya mwisho alikuwa RPC wa Mwanza.
Hahahahahaha mkuu pale makao makuu ni mwendo wa magazeti tu hapana ulajiHa! Ha! Ha! malipo ni hapahapa , Damu ya Ulimboka haiwezi kwenda hivihivi , yuko makao makuu anasoma magazeti tu .
tena amepata kisukari na minor strokeHa! Ha! Ha! malipo ni hapahapa , Damu ya Ulimboka haiwezi kwenda hivihivi , yuko makao makuu anasoma magazeti tu .
Wakuu habari zenu,
Naombeni mnijuze alipo Kamanda mtata na mbabe Ahmed Msangi ambaye mara ya mwisho alikuwa RPC wa Mwanza.
Na pia kuna radio mbao zinasema alishaunganishwa kwenye gridi ya taifa.tena amepata kisukari na minor stroke
Majungu gani?Unamdai? Au huna kazi ya kufanya unatafuta majungu tu
Duh kumbeNa pia kuna radio mbao zinasema alishaunganishwa kwenye gridi ya taifa.
Ndo yasemwayo hayo na watu wake wa karibu mkuu.Duh kumbe
Huwezi ukamuuliza binadamu mwenzio kwa kejeli, au kuna kitu alikufanyizia kwahiyo roho yako imeridhika baada ya wewe kutokumuona?Majungu gani?
Uelewa wako ni mdogo sana!Huwezi ukamuuliza binadamu mwenzio kwa kejeli, au kuna kitu alikufanyizia kwahiyo roho yako imeridhika baada ya wewe kutokumuona?
Jiweke katika nafasi yake hafu wewe uandikwe kama hivyo utajisikiaje?Uelewa wako ni mdogo sana!
Jiweke weweJiweke katika nafasi yake hafu wewe uandikwe kama hivyo utajisikiaje?
Aisee kwahyo jamaa saivi haingii ofisini ?tena amepata kisukari na minor stroke