Yu wapi Basil Mbakile? Alikuwa mtangazaji ITV

Yu wapi Basil Mbakile? Alikuwa mtangazaji ITV

TEGEMEA

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2011
Posts
369
Reaction score
56
Poleni kwa mihangaiko ya wiki nzima wana JF. Nauliza yule mtangazaji wa ITV Basil Mbakile yuko wapi na anafanya nini? Mwenye kujua na atujuze!
 
Mkuu umenikumbusha mbali sana, huyu bwana alipokuwa radio free africa miaka ile ya 95 na akina Gabriel Yota Mwasasu na Marehemu Deo Kiduduye walikuwa majembe kweli.
 
Hivi amefanya RFA mara mbili? Kwa sababu 2006 alitoka Radio One kwenda RSA.
 
Yuko Abood TV huwa anasoma habari za kimataifa.
 
Yupo Abood TV ya Morogoro pamoja na Julius Nyaisanga.
 
Poleni kwa mihangaiko ya wiki nzima wana JF.nauliza yule mtangazaji wa ITV Basil mbakile yuko wapi na anafanya nini?mwenye kujua na atujuze!

Yupo East Africa radio, tune in dakika hii, yupo hewani.
 
Kwahiyo jibu hasa ni lipi hapa
 
Poleni kwa mihangaiko ya wiki nzima wana JF.nauliza yule mtangazaji wa ITV Basil mbakile yuko wapi na anafanya nini?mwenye kujua na atujuze!
Atakuwa analea wajukuu bila shaka wakati huu,mjumbe unatafutiwa huku popote ulipo fanya kama unajikuna wadau wakuone🚶
 
Back
Top Bottom