Unamaana ya J2me? hebu elezea kidogo ujuzi wako katika java, na Software kwa ujumla, pia unataka ku accomplish nini. kisha, nitarespond kutokana na majibu yako. Mim ni Guru wa Java Enterprise
Unamaana ya J2me? hebu elezea kidogo ujuzi wako katika java, na Software kwa ujumla, pia unataka ku accomplish nini. kisha, nitarespond kutokana na majibu yako. Mim ni Guru wa Java Enterprise
Yap java2me .ujuzi wangu katika java ni mzuri sema sio kwa sana kuna project nataka kuzitengeneza kutumia hii software.
Nataka zitumike kwa simu yaan iwe kama mpesa mtu unapofanya vile sema tofauti.
Pia kuweza kuwatumia customers msg hapa nataka kutumia ozeki ng gate way
Record zao zitakuwa stored kwanye mysql
So shughuli ni kuitumia hii java 2 me