Youtubers tukutane hapa

Sasa znakukera nn mkuu?
 
Wataalam vipi kuhusu leseni? Serikali imebadili kanuni au ndio ukitaka unajilipua?
Leseni bado inakubidi uwe nayo labda kama unafanya sanaa ndio hutahusika nayo.
Ila walisema wafanye maboresho walau jinsi ya kujisajili utumie pesa kidogo.
 
Mimi nafanya hio kitu 2 years sasa hua na embed beat ambazo hazina copyright una download youtube tu free naaipigwi strike na matangazo napewa
 
Mimi nafanya hio kitu 2 years sasa hua na embed beat ambazo hazina copyright una download youtube tu free naaipigwi strike na matangazo napewa
Mkuu pia jaribu kushea njia ya malipo unavyo pokea kutoka Google AdSense
 
Hivi kwa YouTube hakuna uwezekano wa kuunganisha Matangazo mengine tofauti na Google?

Mfano Adcash, Amazon, n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…