Kwanza kabla ujafungua channel ya YouTube ushajiuliza kwanini unafungua hiyo channel pili jiulize maudhui yako ni yapi?Wadau kama wewe ni mmiliki au mtengenezaji wa channel YouTube.
Au ni mdau wa YouTube, tukutane hapa ili kujadili maswala yanayo husiana na YouTube channel kama vile kutengeneza, kumonitor, kupata mbinu mbalimbali za kupata subscribers, viewers, comment na shares.
Pia uwanja huu utahusisha Sub for sub(Sub4sub).
Kiongozi, nimeku PMNgoja tuone! Nna kachannel kangu hakakuagi
Mkuu mimi nimefungua channel ili kutoa habari mbalimbali kama zile zilizo vunja rekodi (rekodi mbalimbali) pia kuhabarisha na kuburudisha.Kwanza kabla ujafungua channel ya YouTube ushajiuliza kwanini unafungua hiyo channel pili jiulize maudhui yako ni yapi?
Ukinipa majibu nitakuja na vitu vingine ili twende sawa lengo letu tufanikiwe kama wengine.

Mkuu hapo inatokea kama kuna maudhui yana hakimiliki.Mimi leo nimeupload nonstop yangu ya bongoflava okdakool youtube..ambayo nimeimix mwenyewe lakini wameitoa nakusema kuwa kuna content za ngomma vas..sijaelewa kabisa
Comments za youtube zinaboa kila mtu anaomba like bhana[emoji11][emoji11]hawa watu wananiboa sana.
Utakuta "wa kwanza kuview naomba like zenu" , mara nipeni like 100 kwa ajili ya fulani, mwenzenu sijawahi kupata like jamani naombeni tano tu.. kama unaikubali hii ngoma gonga like twende sawa... dah!
Sawa hapo nimekuelewa mkuuMkuu hapo inatokea kama kuna maudhui yana hakimiliki.
Inaweza kua video ulizo changanya humo au sauti (best).
Hivyo jaribu kubadilisha vitu hivyo harafu uploud upya
Uwa najiuliza hizo llike zinawapa faida gani yani ni kama ufala fala flani hiviComments za youtube zinaboa kila mtu anaomba like bhana[emoji11][emoji11]hawa watu wananiboa sana.