Youtube offline videos zinakuwa saved wapi?

kijumbamshale

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2011
Posts
267
Reaction score
88
Waungwana habari za uhuru/usafi day, kutokana na network zisizoeleweka nimekuwa nikidownload videos kutoka youtube kwa ajili ya kuziangalia ninapopata muda. Nimejaribu kuzitafuta kwenye simu sijazipata lakini ukienda youtube unazikuta na zinastream vizuri tu hata kama net ni dhaifu sana sasa nikawa najiuliza hizi videos zinakuwa saved wapi for later use? Wataalamu tusaidiane
 
Angalia kwenye downloads au file manager, Japo inategemeana na cmu
 
Hautaweza kuzipata, zipo saved ndani ya app folder (Internal storage/Android/data/com.google.android.youtube/files/Offline/(system generated folder name)/streams) ambayo hauwezi kuiaccess unless upo rooted, na hata kama upo rooted hauwezi kuziplay hizo video nje ya App ya Youtube wanafanya hivyo makusudi kulinda halimiliki ya wenye video.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…