Youtube imefungiwa kama Twitter

Internet-Money

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2021
Posts
623
Reaction score
1,320
Nimejaribu zaidi ya lisaa lizima kuingia YouTube ila inagoma. Baada ya kuwasha VPN mambo yanafanya kazi.

Mwezi mmoja kabla niliona trend videos za YouTube kama zipo tofauti na kawaida. Sijui ni YouTube wenyewe wanapokea hela kuzima baadhi ya content zisionekane kwenye trend, kama vile wanavyopokea hela kutoka Human Right kutrendisha videos za Gays/Lesbian

Kweli Siasa ni Ushetani!!
 
Kama Polepole alitegemea atatoa Press kiulaini amechemsha sana.inaonekana intelejensia yake iko very poor na maandalizi duni.
 
wafungie na VPN, whatsapp na simu.
 
Kwani nyie mko nchi ganiii maana me kwangu zinafunguka
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…