Youtube copyright remover

fagix

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2015
Posts
741
Reaction score
563
je ni kweli kuna kitu kinaitwa copyright remover?

Ndio ipo, je ni software gani nzuri hutumika?

je youtube hubaini copyright kwenye audio tu?

hapa na visual pia, kivipi?

je video za music unaweza kuondo copyright?

ndio unaweza ila sio kirahisi hivyo, kivipi?

NB: copyright video ni hatari kwa channel yako japo zina faida nzuri.


unapotaka ku reproduce video hakikisha unafuata kabisa proprties zote za original video.

Note; Zingatia sheria za copyright. kabla huja fanya hiyo reroducing hiyo video
 
mkuu thread yako zaidi imelenga nini?
 
namna ya kuondoa copyright kwenye video za youtube

nataka niweke techniques ila nafsi inakataa kuziweka hapa sijui ni kwa nn
 
nime achana na nyinyi ila ataka taka atanifuta PM ntamuelekeza tu bure
 
Hauwezi kuondoa copyright, unaweza kuvuruga video ili system za Google zisikugundue kiurahisi, copyright violation ipo pale pale.
 
Anaeijaji subscriber njoo pm .Ila nawe unipe ujuzi wa watch times
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…