Nyie mnapiga kelele tuu.
Us na Russia wao wanafahamiana sana mpaka wamewekeana mikataba ya anga. Yaani kama kuna anga inatumiwa kijeshi na mwenzake US au Russia hawezi kwenda kivita ktk anga hilo.
Ndo maana US hawezi kupiga makombora yake pale Syria, au kama vile Russia ilivoshindwa kuingilia vita ya Iraq, hiyo ni mikataba yao.
Pia wana mpaka mikataba ya kubadilishama Majasusi yaani wale wapelelezi wa kimataifa nchi moja inaweza kuomba kutoka kwa mwingine.
Au wanao Majasusi wanaoitwa Double Agent yaani anapeleleza pande zote mbili. Na hii ipo duniani kote