Inategemeana sana mazee!
Kuna wazazi walevi kinoma na watoto hawagusi mitungi na kinyume chake.
Kuna wachungaji wana watoto majambazi, makahaba, na kila aina ya uchafu na Kuna wazazi wachafu wana watoto wasafi.
Mambo ya ndani ya MTU vigumu kuyatafsiri japo kimsingi watoto wapewe malezi bora
Sent using
Jamii Forums mobile app