c4rl05
Member
- Feb 22, 2013
- 21
- 1
hellow wanajamvi,
Najua wengi wetu tumetumia aina nyingi za simu, ninachotaka kujua ni ipi kati ya hizo ulizowahi kutumia unadhani kwako ndo ilikuwa bora zaidi kuliko zingine hata kama ndo unayotumia sa hivi, ukitoa na sababu chahce sio mbaya kuna jambo nataka kuliangalia.
mimi kwa upande wangu my best phone i ever used so far ni NOKIA N900, cz uses MAEMO a linux based os nd open like never happened before, ilinipa uwezo wa kuwa na 64GB (32gb- built in na 32gb of mmc), had many apps for my xcul life, though haikuwa na uwezo wa kutunza chaji kivile, xa hv imebaki kuwa media player tu.