Youngest Doctor In The World

Mujahidin maana ake nin!?, hemu nifahamishe umeniacha
Mpendwa Yamour Baada ya heshima na Taadhima, Niwe na Furaha kukujuza kuwa Neno Mujahidin linatokana na neon Jitihada/Kujitahidi (struggle/survival) katika jambo lolote, iwe masomo, Kazi,ufundi,utafiti,ukulima,mchezo,nk,nk (yaani struggling to gain position/something) ili ufanikiwe maishani inakubidi ujitahidi ndipo waitwa Mujahidi!! Na siyo kama wanavyo tafsiri walimwengu "(akutukanie hakuchaagulii tusi) " So hata mwenye kuishi katika kambi ya ukimbizi utakuta anajitahidi ili ajigomboe ktk hali na mali !! Nahilo siyo kitu cha kupewa kwa urahisi. Haswa ukisuhudia aFalestina wengi wapo ndani ya Occupied lands au camps....!! Karibuni waaungwa kawa suali au maelezo au INFO 2013 BIGURUBE lyinga incharge Gama,Chuma cha reli, utafiti, mbwewe, lukubuzo Samsis
 
Last edited by a moderator:

Ok maadam tupo huru kuuliza.
Naomba utujuze wale waislamu wanaojiita wajahidina, wanakuwa Wana maanisha nini? Au wanatofauti gani na wale wasiojit ambulisha hivyo..
 
Last edited by a moderator:

Link What is Islam's view about education, science and technology? - GainPeace


link http://www.islamicspain.tv/Islamic-...ssical-and-Islamic-Learning-Enters-Europe.htm

Link The Wisdom Fund - Islam's Contribution To Europe's Renaissance



 
Last edited by a moderator:

huyo kijana alikuwa dokta?
 

Isaac Newton hakuwahi feli shule,alikua mwanafunzi bora sana,alisoma masaa 18 kwa siku na siku 7 kwa wiki,japo enzi hizo waliandika kwa mkono na kusambaza kwa magari ya farasi yy alikuwa na collection ya vitabu zaidi ya 1000,aliachana na mambo yote ya jamii na akajikita na elimu(ndo maana alikua antisocial).Bila kusoma kazi zilizopita sidhano kama tunaweza kuja na kitu kipya,Newton mwenyewe alisema "If i can see any further,it's only because i stand on the shoulders of those who came before me".Habari zake nyingi zimeandikwa na John Wilkins waliokua wakiishi nae chumba kimoja tangu wanasoma chuo mpaka anafariki.Bila kusoma kazi za Newton Einstein asingeweza kutuambia kua hakuna "absolute time wala space" kama alivyowaza Newton.
ata unapoandika pepa unatakiwa kufanya reference,kwa hiyo ni lazima kusoma kazi zilizokwisha andikwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…