Ni nini hicho? Faida za kujiunga ni zipi? Jiuze zaidi...
Magroup mengi yakibongo yanakosa dira, mada zile zile, vichekesho, mipira, siasa, masuala ya dini, quote za inspirational speaker n.k.
Natamani kungekuwa na mentorship programe za watu waliofanikiwa kuwasaidia wajasariamali wanaochipukia haswa katika nyanja za njia za kufuata na sio fedha.