Young Killer mashairi yake yapo kwa stamina, yapo kwa Fid Q etc! Na ana sauti ambayo akibalehe vizuri itaondoka, hivyo flow yake ni ya mpito labda anywe mayai mabichi kulinda sauti isiwe nzito.
Young Dee yupo Unique, kwangu ni mkali zaidi, chaliii wa A town bado.