Ni dhahiri sasa watu wa mwanza wameamua kaz kuna wasanii ambao kwa sasa ni tishio na wote ni kutoka mwanza mwanza hata redion wanachukua air time za kutosha
Na kwa hapa mwanza ule ufalme aliokuwa nao young killer sasa umepotea na amepotezwa mbali sana na vijana hawa wanaofanya mziki wa rap
MANENGO kwa sasa huyu dogo kaachia ngoma yake ambayo ni shida mjin inayokwenda kwa jina la mbinde
NCHAMA THE BEST huyu mshika ni noma aisee ni tabu na homa ya jiji kaachia ngoma mpya ambayo kamushilikisha duly skys unaweza kuingia you tube kuichek
COYO huyu ni funiko ambalo haliwez kumuacha salama marapa fake mjipange kinoma jamaa ni hatar ana hit song kama vile ZIWAFIKIE pia saiv kaachia ngoma mpya inaitwa ITAKUCOST unaweza ingia youtube kuichek ni balaa
Yaab kwa kifupi kwa sasa mwanza inatisha kwa marapa na hakuna tena mkoa wa kulinganisha nao
Kama watu huku hawajawajua bas bado sana hao kwa young killer msodoki,
Siku wakiweza kuandika mashairi hata robo ya young killer bas ntaanza kuwasapot,
Kushindana na young kila ktk umri ule kuandika mashair yale mpe heshima yake
You're not serious!! Yaani umeandika yote hayo na mapicha juu lakini unashindwa kuweka link?!
Industry imefurika jombaa... ni wachache sana watakaofanya kazi ya kuingia Google ku-search jina la msanii ambae hajawahi kumsikia hata mara moja!!!! Hata Apple na Samsung ambao bidhaa zao zinafahamika kila kona bado hawawezi kuweka tangazo la new product wakakuambia ukitaka kuiona, ingia Google au Youtube!!!