Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,821
Said Juma amepwaya pale kati...Kuna haja ya Kevin Yonda kuingia ili Mbuyu Twite akacheze namba 6...
hiyo ya shinyanga ni kweli??
mh! mabingwa wetu wanafundishwa mpira! washalia kimoja!
Dah....Huyu Refa...
mmeanza!
Hivi wangekuwa wanafundishwa mpira si wangefungwa 5 mpaka sasa..Kumbuka tunashambulia na kulinda pia...So far tumekosa magoli ma3 ya wazi..Tambwe..Ngassa na Msuva
Updates updates ZIMBABWE PLS.
Hapa shinyanga mechi imeahirishwa uwanja umejaa maji.
Kule duniani ARSENAL 3-1LIVER.
fc platnamz wamekosa mangapi mpaka sasa?