BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,341
Kilichonisukuma kuandika hii thread ni baada ya kuona baadhi ya thread ambazo wahusika wameumizwa na wenza wao kisa tu kua amesogea hatua katika maisha kwaio anamuona yule waliekua nae ambae kwa namna moja ama nyingine amechangia yeye kua hapo anamdharau na kumuona "wa kuja" ...dharau hizi unakuta ni mwanaume kwenda kwa mwanamke ama mwanamke kwenda kwa mwanaume, tulikua pamoja wakat hatuna nilivopata nkakusaidia na kuk-take care kwa hal na mali leo umepata na mimi bahat mbaya nimeanguka unanidharau na kuona kwamba sina umuhimu tena...pia kuna thread nyingine mwenza wako amekufungulia biashara mana ya kua msaidiane ili muinuke hapo mlipo mfike mbali kimafanikio lakin upande wa pili(mwanamke) baada ya kushika hela anaanza dharau kwa mwanaume, nimetafakari sana kua baadhi ya wanaofanya hivo wana kibali na Mungu kujua ya kwamba kutatokea nini in future??!
Huyo unayemdharau ambae mlikua wote katika shida akapata hakukuacha lakin maisha yakabadilika akaanguka wewe ukapata unamdharau, au mlikua wote ktk shida mmoja akapata lakin anamsahau mwenzie na kujiona kua yuko level nyingine sasa kwamba wewe si lolote si chochote....nilikua nasoma story ya BARACK OBAMA na MICHELLE OBAMA jinsi walivokutana na pia nimeangalia 'trela' ya muvi mpya ya maisha yao, nikawa najisemea kua MICHELLE alimpenda BARACK bila kujua kabisa kwamba 1 day atakua 'first lady' wa taifa kubwa kama marekani, tena wife to her husband(the president), did she know? What she did alimpenda na alimsapoti kwa kila hali and Barack was ordinary guy kabisa and he was focused in what he was doing...kuna mahal alimwambia MICHELLE kua "nataka kufanya kitu kikubwa katika maisha yangu, je utanisapot utakua na mimi" ? Akamjibu "unataka kufanya siasa kama ulivoniambia?" Akamjib "ndio" ...
michelle akamwanbia "ntakua na wewe kukamilisha ndoto zako and i will not leave you" ....anyway to cut the story short hapa tunajifunza nini?..
Unaemdharau kwa sasahivi kana kwamba umeona sasa wewe uko level nyingine na yeye ni kapuku tu bas unajidanganya koz maisha hayako hivyo hujui huyo mwenza wako unaemfanyia hivo atakuja kua nani huko mbele, na pia wewe hio level unayojiona umefika Mungu anaweza akakushusha huez kuamini, if mko ktk serious relationship jua thaman ya mwenzio na thaman ya mahusiano yenu.
First lady wetu alijua kwani? Si alijua atakua mwalimu kama ambavyo ni proffesion yake, lakin mnamuona anavopendeza sasa...
POLENI KWA MLIOACHWA NA WENZA WENU SABABU WAKO LEVEL NYINGINE KWAMBA HAMNA UMUHIMU TENA KATIKA MAISHA YAO SABABU HAMNA KITU. ILA IPO SIKU MISEMO IFUATAYO ITACHUKUA NAFASI...
*KARMA IS A ******
*WEWE ULINIONA WA NINI LAKIN MWENZIO ANAETAMBUA THAMAN YA KUPENDWA NA KUPENDA ALIKUA ANAJIULIZA ATANIPATA VIPI
* AND LASTLY..YOU WILL NEVER KNOW WHAT U HAVE UNTIL WHEN YOU LOOSE IT