Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,174
- 45,895
niliwahi kumwambia mtu fulani nikifanya kazi miaka 10 nittaweza kuacha nikafanye mambo mengine kama hiyo kazi itanibana so upo sahihi kipato kimoja ni kipengeleAsante sana,ni somo zuri haswa kwa sisi wategemea salary tu,matumiz makubwa kuliko tunachopata na kujikatia tamaa that kwa nilichonacho hakitoshi kuzalisha kumbe kuna mwingine hichohicho kidogo ndo mtaji tosha